Global Publishers (TZ)·57d ago

Mashabiki na viongozi mbalimbali walikusanyika kwa wingi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ili kuwakaribisha mabingwa wa Kombe la Shirikisho. Sherehe hizo zilijaa shangwe na furaha, ikionyesha mapenzi ya mashabiki kwa timu yao.