Global Publishers (TZ)·58d ago

Mafuta ya mawese, ambayo ni maarufu katika mapishi hasa barani Afrika, yanatajwa kuwa na virutubisho muhimu. Ingawa matumizi yake yamekuwa yakijadiliwa mara kwa mara, faida zake za kiafya zinaendelea kupewa kipaumbele na wataalamu wa lishe.