Global Publishers (TZ)·6d ago

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Mhe. Peres Magiri, alifungua mkutano wa ujirani mwema kati ya Tanzania na Msumbiji, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, leo Juni 23, 2026. Mkutano huu unalenga kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.